deepundergroundpoetry.com
Penzi la hofu
Tamaa mauti
Ninavyokutamani
Na kuzama
Kwenye hili bahari la penzi
Nahofia penzi limeniweza
Nani ataninusuru
Au nitazama bila tumaini
Nipotelee kwenye sakafu ya bahari
Ewe penzi...
Ninavyokutamani
Na kuzama
Kwenye hili bahari la penzi
Nahofia penzi limeniweza
Nani ataninusuru
Au nitazama bila tumaini
Nipotelee kwenye sakafu ya bahari
Ewe penzi...
All writing remains the property of the author. Don't use it for any purpose without their permission.
likes 1
reading list entries 0
comments 3
reads 99
Commenting Preference:
The author encourages honest critique.